Naimba Msaada namna ya ku unroot simu ya Android

2 Answers

by
+2 votes
 
Best answer

Kama simu yako iko rooted install app ya SuperSU ambayo ipo Play Store unaweza kudownload HAPA. Baada ya hapo ruhusu app hiyo kwenye simu yako kisha nenda sehemu ya setings kisha bofya Full Unroot.

by
0 votes
Asante sana nimewa ku-uroot simu yangu na sasa nimeweza ku-update mfumo mpya wa Android 9.0 Pie.
add
...