Nataka kununua simu mpya ya Tecno K7, Nimeambiwa ni simu nzuri sana. Je vipi naweza kujua sifa kamili za Tecno K7 pamoja na bei yake

1 Answer

by
selected by
+1 vote
 
Best answer

Simu ya TECNO K7 na TECNO K9 ni matoleo ya Tecno Spark ya kwanza kabisa kutoka kampuni ya TECNO. Simu hizi ni nzuri sana na wengi huzipendelea sana kutokana na bei yake kuwa nafuu zaidi, Zifuatazo ndio sifa kamili na bei ya Tecno K7.

Sifa za TECNO K7

  • Mfumo wa Uendeshaji - HiOS 2.0 Based on Android 7.0 (Nougat).
  • Aina ya Laini - SIM Type: Dual SIM (Micro).
  • Ukubwa wa Kioo - 5.5 Inches HD IPS Touchscreen, Screen Resolution: 720 x 1280 pixels.
  • Uwezo wa Processor - 1.3 GHz Quad-core CPU.
  • Uwezo wa RAM - 1GB / 2GB.
  • Ukubwa wa Ndani - GB 16 inauwezo kuongeza na memory card hadi ya GB 32.
  • Kamera ya Nyuma - Megapixel 13 yenye flash ya LED.
  • Kamera ya Mbele - Megapixel 5 yenye Flash.
  • Uwezo wa Battery - Battery isiyotoka ya 3000 mAh.

Bei ya TECNO K7

Kwa upande wa bei TECNO K7 inauzwa takribani shilingi za kitanzania Tsh 210,000. Unaweza kuipata simu hii kwa bei nafuu zaidi hasa kwenye maduka ya TECNO.

add
...