Jinsi ya kujua iphone feki

in Maujanja
by
+1 vote
136 views
Je unawezaje kujua kama simu yako ya iphone ni feki, naomba kujua njia za kujua simu feki ya iphone.

4 Answers

by
+2 votes
 
Best answer

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kujua simu feki ya iphone basi unasoma sehemu sahihi. Kupitia hapa nitakwambia njia rahisi ya kuweza kujua kwa haraka kama iphone yako ni feki ama lah.

  1. Tembelea tovuti hii checkcoverage.apple.com kisha baada ya ukurasa huo kufunguka andika serial number ya simu yako kwenye kisanduku kilichopo kwenye website hiyo.

Unaweza kupata serie number kwa kuingia kwenye General > About > Serial number.


  1. Baada ya kuweka serial number yako kwenye chumba kilichopo wazi endelea kwa kuandika neno lililopo chini ya ukurasa huo.
  2. Baada ya hapo utaletewa majibu kama simu yako ni feki au ni original, ukiletewa maneno kama invalid, wrong hardware serial number basi simu yako ni feki.
by
0 votes

Hii njia inafanya kazi kwenye simu zote za iphone au kuna idadi ya simu pekee ambazo zinaweza kufanya hivi.

by
Ndio inafanya kazi kwenye simu zote za iPhone.
by
0 votes

Nimeipenda sana thank you very much.

by
0 votes

Asante sana, nadhani ni vizuri ukiweka link ya jinsi ya kuweka dark mode kwenye Android. Link Hii Hapa.

by
Thank you very much
add
...