Nawezaje kuwasha dark mode kwenye programu ya whatsapp kupitia simu ya iphone.?

2 Answers

by
edited by
+1 vote
 
Best answer

Kama ambavyo ilivyo kwenye mfumo wa android wa mfumo wa dark mode kwenye whatsapp upo kwajili ya kulinda macho yako hasa wakati wa usiku. Kupitia hapa nitaweza kuonyesha jinsi ya kuwasha dark mode kupitia simu za iPhone au simu zenye mfumo wa iOS.

Ingia kwenye settings ndani ya simu yako ya Iphone kisha bofya Display and wallpaper

image

Baada ya hapo bofya sehemu iliyoandikwa Dark na hapo moja kwa moja simu yako itabadilika na kuwa na muonekano wa giza ikiwa pamoja na programu ya WhatsApp.

image

by
+1 vote
Asante sana nimependa sana hii.
add
...