Naomba kujua kama kuna njia yoyote ambayo unaweza kufanya ukabadilisha simu yoyote ya Android iweze kuonekana kama iphone.

1 Answer

by
+1 vote
 
Best answer

Zipo njia kadhaa ambazo unaweza kuzitumia, unaweza kutumia njia hii ya kwanza ambapo unaweza kusoma hapa, au pia unaweza kufuata maelezo hapo chini kwenye video fupi.


by
Asante sana, nime elewa
add
...