Nataka kujua sifa na bei za simu mbalimbali, je nawezaje kujua sifa za simu yangu au nyingine yoyote.?

1 Answer

by
selected by
+1 vote
 
Best answer

Unaweza kujua sifa pamoja na bei ya simu yoyote iwe android au iOS kwa kufuata njia hizi rahisi. Unaweza kuangalia video hapo chini au unaweza kuongie kwenye tovuti ya Price in Tanzania hapa.


by
Asante sana nimeona simu mbalimbali, nimependa sana hiyo website.
by

Karibu sana, pia unaweza kutembelea Tanzania Tech kujua sifa na bei kwa kiswahili.

add
...