Nawezaje kufuta cache au ku-clear cache kwenye smartphone yangu ya Android, kwa mfano kama nataka ku-clear cache kwenye app ya Instagram.?

1 Answer

by
+1 vote
 
Best answer

Ku-clear au kufuta cache kunaweza kuwa na faida nyingi sana kwa mtumiaji, sehemu hii inaweza ipo kwajili ya kuondoa kumbukumbu ambayo inaweza kuwa nzuri au mbaya kwa mtumiaji.

Yani hapa na maana kuwa mara nyingi unapotumia appp yoyote kwenye simu yako app hiyo kuhifadhi kumbukumbu kadhaa kama vile kumbukumbu za kuingia kwenye app yani ku-login pamoja na kumbukumbu nyingine.

Lakini kuna wakati kumbukumbu hizi huwa mbaya kwa mfano unaweza kufungua app na app hiyo ikastack, hapo kumbukumbu hukifadhiwa hivyo kila mara unapofungua app hiyo app hiyo uwakia hapo hapo na kustack tena, ndio maana sehemu hii ya kuclear cache ipo..

Kufuta cache kwenye simu yako ya Android ingia kwenye Settings > Kisha Apps tafuta app unayotaka kufuta cache yake kisha chagua app hiyo na endelea kwenye hatua inayofuata.


Baada ya hapo bofya Storage kisha bofya clear cache na hapo utakuwa umemaliza.

add
...