Kama kwa muda ulikuwa unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza tovuti yako kwa kutumia simu ya mkononi basi unasoma uzi sahihi. Kupitia hapa utaweza kupata kujifunza njia za kuweza kutengeneza tovuti kwa kutumia simu yako ya mkononi, basi bila kupotesa muda twende tukajifuze hatua kwa hatua.
LINK MAALUM
Download File la MUZIKI Hapa -
Tovuti ya Infinityfree Hapa
Tembelea tovuti ya Google kupata YouTube API
Website Niliyotengeneza kwa kutumia Njia hii
amanijoseph AIzaSyDDiA5tQblLoqaPQ4O6KripjnQjS8MkmV4 Ndo hizo brother
AIzaSyDDiA5tQblLoqaPQ4O6KripjnQjS8MkmV4
Ntegenezee hilo faili sasa
MicMac Hili hapa file zima lenye API zako - https://mitly.ml/9nU
tafadhar naomba msaada jinsi ya kuweka ads za propush kwenye website?
CHRISAMANI Umekwama wapi.?
amanijoseph pro push inafail kuverify
Unaweza kutuma screenshot
amanijoseph hii njia inafanya kazi kweli
CHRISAMANI subiria siku chache kisha jaribu tena.