Kama ni mmoja wa watu ambao wanahitaji kuanzisha baishara kama kupatana unaweza kuuliza maswali yako hapa na utaweza kujibiwa kwa urahisi zaidi na kwa haraka.
Je elimu namna yaku imanage?? lakin pia je kuna uwezekano wakuzuia vitu vya magendo kuwepo ktka app kwa wafanya mnada
Ndio vyote vinawezekana
Mimi nataka app kama hii yenu hivi hivi kimuundo,itanigharimu bei gan?