Kwenye hii video, naelezea kuhusu taa ambayo ndani yake in Spika na pia ina Bluetooth. Unaweza kuiunganisha taa hii na simu ya mkononi au Computer. Pia hii taa ina Speaker yenye ukubwa wa watts 6, Kwa hiyo pia hii taa inaweza kutumika kama spika pale unapotaka kupiga mziki au kuangalia filamu. Tizama hii video ili uweze kujifunza zaidi kuhu hii taa, na pia usikose ku-Subscribe ili uweze kupata kuona video nyingine nikiwa naweka kila wiki. Na pia bonyeza alama ya kengere ili kupata ujumbe kila ninapokuwa nimeweka video mpya