Katika hii video ntakuonesha jinsi ya kuiwekea ulinzi akaunti yako ya Instagram. Hii itakusaidia kuelewa njia tofauti za kuzuia mtu kuiba akaunti yako na pia kuifanya akaunti yako kuwa salama zaidi