Kama unataka kujua jinsi ya kutengeneza App ya Blogger Karibu hapa, unaweza kuuliza swali lako hapa na tutajitahidi kuweza kukupa majibu kwa haraka zaidi.
Hapa ni kutengeneza app ya blog kwa ujumla au app kwaajili ya blogger peke yake.?
Kwaajili ya blogger
Nimetengeneza app kwa msaada wenu lkni MBNA siwez post inaonyesha tuu about hamna kingne
SarahChals sijaelewa umekwama..?
SarahChals