Simu yangu ni tecn camon c8. Hivi sasa haina vibration kabsa. Nifanyeje irudi
KubojaJandwa Hiyo itakuwa imeharibika ile mota inayofanya vibration.
Msaada simu yangu ni Tecno CamonX tatizo nikwenye selfie haigeuzi picha ukipiga picha mfano SIMBA inasomeka kinyume nifanyeje? Namejaribu kuiset lakn sjafanikiwa najua nyie mnaweza kunisaidia
Nawashukuru sana Tanzania tech kwakunijuza maujanja mbalimbali nimejua vituvingi sana kupitia kwenu naomba endeleeni kutuletea habari mbalimbali za kiteknolojia pamoja zaidi