Msaada namna ya ku unroot simu
Sule19 Simu ya aina gani..?
Infinix hot 6
Sule19 Kama simu yako iko rooted install app ya SuperSU ambayo ipo Play Store unaweza kudownload HAPA. Baada ya hapo ruhusu app hiyo kwenye simu yako kisha nenda sehemu ya setings kisha bofya Full Unroot.
Sule19 Kama umeridhika na jibu tafadhali chagua sehemu ya "best answer" iliyoko chini ya jibu husika.
Msaada Plz nataka ni rooted Itel S42 Imenishida Naomba Msaada Wako Unielekeze Nifanye Je Ili Ikubali
danifordcharse simu hiyo ni Android gani.
Msaada Hivi nawezaje ku root tekno W5 Android 6
Greatboy inawezekana
Ttech nitafanyaje
Msaada nimeishia hapo sijui nifanyeje aisee
BurudaniMurua hii ni nini.?
Greatboy utafanyaje kivipi