Teknolojia inazidi kukuwa kila siku, njia za kupata habari za leo zinazidi kubadilika ndio maana nimekuletea njia hii rahisi ambayo unaweza kuitumia kusoma habari leo kwa urahisi kabisa. Njia hii ni nzuri kama unatumia simu ya mkononi ya Android na itakusaidia sana kutopitwa tena na habari mpya za leo.

Unachoptakiwa kufanya ni kudownload App inayoitwa Gazeti, app hii ni nzuri sana na inaweza kusaidia kupata habari zote mpya kwa urahisi kabisa. App hii ina tovuti zote kubwa za habari za hapa na habari za kimataifa, utaweza kusoma habari kutoka tovuti ya millardayo, mwananchi, muungwana, habari leo, Dar24, efm pamoja na blog nyingine nyingi za habari hapa Tanzania. App hii ni rahisi sana kutumia na inapatikana bure kabisa kupitia soko la play store download sasa na utaweza kupata habari zote mpya za leo. Mbali na yote unaweza kusikiliza redio za hapa Tanzania pamoja na kuangalia TV za hapa tanzania. Kujua zaidi kuhusu app hii soma hapa au hapa.
DOWNLOAD APP YA GAZETI HAPA